NSINGIZINI 0 SIMBA 3 HIGHLIGHTS | CAF CL 19/10/2025
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-10-20
Просмотров: 98183
Описание:
ESWATINI
Simba imeshinda 3-0 ugenini nchini Eswatini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mchezo wa kwanza wa raundi ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika #.CAFCL
Kibu Denis akitokea benchi amefunga magoli mawili dakika ya 82 na 90 baada ya Wilson Nanungu kuitanguliza Simba mwishoni mwa kipindi cha kwanza...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: