KAMPUNI YA TROMSO YA JAPAN YAKABIDHI KIWANMDA CHA KISASA CHA MKAA MBADALA KWA DORFRA TRADING CO.LTD
Автор: KAHAMA TV ONLINE
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 172
Описание:
KAMPUNI ya TROMSO ya nchini Japan imekabidhi rasmi mradi wa kiwanda chenye mtambo wa kisasa wa kuchakata mkaa mbadala unaotokana na pumba za mpunga kwa kampuni ya DORFRA Trading Company Ltd. ya mjini Kahama katika mkoa wa Shinyanga.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika mtaa wa Mbulu Kata ya Mhongolo yalipo makao makuu ya kampuni hiyo baada ya mafundi kutoka nchini Japan kumaliza kufunga mtambo huo wa kisasa.
Mradi huo ulioghalimu zaidi ya shilingi milioni 100 unatarajiwa kuongeza thamani ya pumba za mpunga kwa kuzalisha mkaa mbadala na kusaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wa Kahama na kuondoa utegemezi.
@kahamatvonline.
USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE
BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU
https://www.youtube.com/channel/UCcCo...
/ kahamatvonline
#KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: