Mikoa ya Tanzania kwa Lugha ya Alama 🇹🇿 | Elimu kwa Watu Wasiosikia. Mwalimu: RUKIA MAROBE
Автор: TUMAINI MOJA
Загружено: 2025-07-20
Просмотров: 901
Описание:
Karibu katika kipindi maalum cha Mikoa ya Tanzania kwa Lugha ya Alama!
Katika video hii, tunakupeleka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa kutumia lugha ya alama ya Tanzania (TSL).
Kipindi hiki ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wasiosikia kupata elimu kwa usawa na kwa njia rafiki.
📍 Leo tutajivunza Mikoa yote ya tanzania.
👉 Usisahau kusubscribe ili upate vipindi vyote vinavyofuata!
👉 Shiriki na watu wengine wenye uhitaji wa maudhui haya.
#LughaYaAlama #MikoaYaTanzania #ElimuKwaWote #TanzaniaSignLanguage #TSL
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: