Jinsi ya Kupika Pizza ya Kuku Nyumbani 🍕🔥 | Diko By Monalisa | Recipe ya Pizza Rahisi!
Автор: Diko by Monalisa
Загружено: 2021-02-06
Просмотров: 1806
Описание:
Unapenda pizza ya kuku? 🍕🔥 Leo nakufundisha jinsi ya kupika pizza tamu ya kuku nyumbani kwa urahisii! 🏠👌 Hii ni recipe rahisi na ya haraka ambayo itakupa pizza laini, crunchy na yenye ladha.
Katika video hii, utajifunza:
✅ Jinsi ya kutengeneza dough laini ya pizza
✅ Namna ya kutengeneza sauce tamu ya pizza nyumbani
✅ Jinsi ya kuweka toppings za kuku kwenye pizza
✅ Mbinu rahisi za kupika pizza
Usisahau KUSUBSCRIBE kwa mapishi zaidi.
🔔 BONYEZA KENGELE upate taarifa ya video mpya!
👍 LIKE, COMMENT & SHARE – Tuambie unapenda pizza gani zaidi!
#JinsiYaKupikaPizza #PizzaYaKuku #DikoByMonalisa #MapishiYaPizza #PizzaNyumbani #ChakulaKitamu #RecipeRahisi #TanzaniaFood #SwahiliCuisine #FoodLovers
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: