BREAKING! TUNDU LISSU Aandika Waraka Mzito kwa WATANZANIA
Автор: JasusiTV
Загружено: 2025-08-31
Просмотров: 121387
Описание:
Ujumbe Mzito Kutoka kwa Mheshimiwa TUNDU LISSU kwa WATANZANIA Wote.
Mheshimiwa LISSU anazungumza waziwazi kuhusu kesi yake ya uhaini akielezea jinsi hukumu ya kifo inavyotishia demokrasia ya Tanzania. Lissu anafafanua mapambano yake ya kisiasa dhidi ya utawala, akielezea jinsi serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inavyotumia sheria kama silaha (lawfare) kunyamazisha upinzani.
Mheshimiwa LISSU anaelezea kwa kina kwamba uhalifu wake ni kudai mageuzi na uchaguzi huru na wa haki kabla ya uchaguzi wa 2025. Anasema waziwazi kwamba "Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi" (NO REFORMS NO ELECTION) sio tu kaulimbiu, bali ndiyo njia pekee ya kuokoa demokrasia.
📚Pata vitabu mbalimbali hapa https://jasusi.com
🅾 Instagram: / evarist_chahali
𝕏 Twitter: / chahali
【ꚠ】TikTok: https://tiktok.com/evaristchahali
ⓕ Facebook: / evaristchahali
📩 Barua Ya Chahali: www.baruayachahali.com
📩 Ujasusi Blog: https://www.ujasusi.com
📩 AdelPhil Online Academy: https://www.adelphilacademy.org
🌐 AI: https://JasusiAI.com
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: