''WASOMA MITA ZA MAJI MNAONGEZA BILI'' - NAIBU WAZIRI WA MAJI JUMA AWESO
Автор: 2GENDAH ONLINE TV
Загружено: 2020-05-06
Просмотров: 5150
Описание:
#wizarayamaji#Jumaaweso#Duwasa#Dawasco
Serikali imewaagiza Wakurugenzi wa mamlaka zote za maji nchini wahakikishe watumiaji wa maji wanashirikishwa kikamilifu katika usomaji wa mita ili kutambua gharama halisi wanazopaswa kulipa na kuepuka kubambikizwa bili kubwa kuliko matumizi.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maji katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: