Mbunge Kundo asisitiza wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa.
Автор: STV ONLINE MEDIA
Загружено: 2024-10-20
Просмотров: 72
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Andrea Mathew, amewaomba wananchi wa jimbo hilo na Taifa kwa ujumla kushiriki kikamilifu hatua muhimu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Mwezi Novemba tarehe 27 mwaka huu 2024.
Mhandisi Kundo ametoa rai hiyo muda mfupi baada ya kujiandikisha katika Mtaa wa Ng'hulo, Kata ya Nkololo Wilaya ya Bariadi mkoani humo.
STV Karibu Yako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: