Yanga SC 5-0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 11/03/2024
Автор: Azam TV
Загружено: 2024-03-11
Просмотров: 521486
Описание:
Stephane Aziz Ki ametoa 'assist' tatu na kufunga goli moja, Yanga ikiichakaza Ihefu kwa kichapo cha mabao 5-0, mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Aliyefungua Dimba alikuwa ni Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya dakika ya 30, Aziz Ki dakika ya 68, Augustine Okrah dakika ya 84 na Maxi Nzengeli dakika ya 86.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: