ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mwana Muja Mbura Wanyaturu Wimbo wa Kutongozea (Fishboy Family) +255759727230

Автор: Wanyaturu Talents

Загружено: 2025-12-20

Просмотров: 321

Описание: Wageni na Wenyeji Wakicheza Ukweni Wanyaturu wa Manyoni Wapo Mandewa Singida (+255759727230)

( Fishboy Family )
Huu Ulikua Ni Ugeni wa Familia Kutoka Manyoni "Muoaji" Wakicheza Pamoja Na Familia Ya Mandewa na Mtinko (Muolewaji)
Eneo ni Mandewa , Familia Ya Manyoni Walikuja Kujua Nyumba Watakapokuja Kuoa na Walishiriki kucheza kula na kufurahi pamoja Kuanzia Mda wa Saa kumi jioni Hadi kesho yake Asubuhi na Kisha wakaondoka Kurudi Manyoni na Kuwaacha wenyeji .

Sheria na Taratibu ya Shughuli kama hii kwa Wanyaturu chimbuko Singida Ni kwamba ,
Lazima Waje na DAHWA
( Vyombo Vilivyowekewa ama Kujazwa ndani Yake Chakula chochote Kikavu Haswa ni Unga wa kula "Wowote", Mchele, Sukari chumvi ,Maharage Nk , Na Nafaka zinginezo Na Hii Inaleta Ishara kwamba Tunakuja Na Chakula chetu hivyo basi tukishakula kwenu tutakua tumekula chakula chetu )

Dahwa hizo Kwa heshima ya Kinyaturu / Wanyaturu Wanapendelea kutumia Vibuyu Vilivyorembwa Vizuriiii na zinakua Nzuri haswaa. Wanakuja wanaume kwa Wanawake Rika kubwa zaidi , na Lazima awepo mdada mwenye Mimba na mdada aliye na mtoto mdogo (Kuashiria Kuwa Sisi Waoaji Tukimuoa Mwanenu basi Atakua na Uzao kama Hawa Waliokuja na Mimba na Mtoto ) na Vijana wakiume Kama Ishara ya Mmoaji Pia Wapo kwa kunogesha shughuli Kuimba na Kucheza kusaidiana Na watu wazima wenye Kujua Nyimbo Za Kila aina na nyimbo Zinazoimbwa hapo Ni Za Aina zote Za Kufurahi Zaidi ni nyingi zenye amshaamsha na Wakifikia wakati wamechoka basi zinaimbwa nyimbo za Taratibu huku wakiitikia kwa pamoja wakiwa Wameketi chini huku wanapiga Makofi na Nderemo Vifijo Vigelegele ,

Lazima Waimbaji/Muimbaji wa Kila Familia anayewaongoza wenzake lakini watasaidia kuimba na Familia wenyeji na wageni . Pombe ama vinywaji vyote kwa ajili ya kuchangamka kwa wale wanywaji wa pombe ama vinywaji baridi ,

Wenyeji huwakaribisha kwa furaha na kucheza nao hadi wakati wa Kuondoka Asubuhi na wataondoka na Dahwa zao zikiwa zimemiminwa Kilichokuwepo ndani na watasindikizwa kwa Heshima .
Na hapo sasa watakua wameshaongea kuhusu siku rasmi ya kuja Kuoa.

(Shughuli hii ya kucheza hufanyika tu baada ya Kumaliza kutoa mahari ndipo Waoaji huwa wanakuja kuwatembelea Wenyeji wao Waolewaji , Pia Baada ya Ndoa/Kuoana Waoaji pia Huwaalika Au Wenyeji Huomba Kwenda pia Kuona alipoolewa Ndugu yao wakacheze na kuimba kwa pamoja siku nzima hasa nyakati za Usiku mpaka kesho yake kama walivyofanya Wenzao)

Kwa uchache Zaidi Nimeongea Haya niliyoyasahau na Mengine mengi basi Naomba Nisamehe ni Mimi
kijana wenu, Niliyekuandalia Makala Haya ni Mimi Kijana wa Kisasa Ninayependa Tusisahau Kabila Letu la Wanyaturu/Warimi na Tulipe Thamani ni Mimi
"Fishboy" +255759727230.
( Steven Wawa )
Munyampanda , Kutoka Kijiji cha Mtinko
Mkoa Wa Singida ( Singida Vijijini , Jimbo la Ilongero ).
❤💯

#fishboy #kinyiya #fishboyfamily #Wanyaturutalents #trajaaa #ilongero #munda #waja #ndekinende

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mwana Muja Mbura Wanyaturu Wimbo wa Kutongozea (Fishboy Family) +255759727230

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Арсен Шахунц — Она девочка, ей можно

Арсен Шахунц — Она девочка, ей можно

NGOMA YA KINYATURU

NGOMA YA KINYATURU

Wageni , Wenyeji,  Wakwe Wakiagana Wakicheza Kabla Ya Kuondoka na Dahwa (fishboy Family)  Mandewa

Wageni , Wenyeji, Wakwe Wakiagana Wakicheza Kabla Ya Kuondoka na Dahwa (fishboy Family) Mandewa

Kwaheri Wakwe Wakiaga Wenyeji (Fishboy Family) Mandewa × Mandewa +255759727230 Wanyaturu Kabila

Kwaheri Wakwe Wakiaga Wenyeji (Fishboy Family) Mandewa × Mandewa +255759727230 Wanyaturu Kabila

WANAWAKE WA KINYATURU WANA HASIRA

WANAWAKE WA KINYATURU WANA HASIRA

Msafiri Zawose & the Wagogo | Live Uvina Wagogo Traditional Dance

Msafiri Zawose & the Wagogo | Live Uvina Wagogo Traditional Dance

NYIMBO ZA KIRANGI KONDOA POLE SANA PART 1 GADAFI WA LIBYA.

NYIMBO ZA KIRANGI KONDOA POLE SANA PART 1 GADAFI WA LIBYA.

MATRUNDA UGUYANJITRE- Jonta P.I, Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Kitunda (HD-Video)

MATRUNDA UGUYANJITRE- Jonta P.I, Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Kitunda (HD-Video)

MDADA WA KINYATURU AWAKIMBIA  WANYATURU WENZAKE DAR ES SALAAM  ROSENEY ANAKATAW KABILA ZUNGU SINGO

MDADA WA KINYATURU AWAKIMBIA WANYATURU WENZAKE DAR ES SALAAM ROSENEY ANAKATAW KABILA ZUNGU SINGO

Мариам Мерабова - МУЗЫКА (Посвящение Шопену) | Романтика романса. Новогодний гала-концерт, 2025-2026

Мариам Мерабова - МУЗЫКА (Посвящение Шопену) | Романтика романса. Новогодний гала-концерт, 2025-2026

Mpenzi wa Kipekee | Sehemu ya 1 | Piya Albela | Tamthilia ya Kihindi kwa Kiswahili

Mpenzi wa Kipekee | Sehemu ya 1 | Piya Albela | Tamthilia ya Kihindi kwa Kiswahili

BIESIADA PRZY STOŁACH z Zespołem KROKUS to wspaniała integracja zebranych gości w Złotym Dworze

BIESIADA PRZY STOŁACH z Zespołem KROKUS to wspaniała integracja zebranych gości w Złotym Dworze

Harusini Kwa Feisali & Jamila Singida Jineri Fishboy Atumbuiza Kinyiya Live 6/12/2025

Harusini Kwa Feisali & Jamila Singida Jineri Fishboy Atumbuiza Kinyiya Live 6/12/2025

Jomima Group - KARIBU SINGIDA (official  culture music video)

Jomima Group - KARIBU SINGIDA (official culture music video)

Wimbo bora wa mwaka 2019 singida

Wimbo bora wa mwaka 2019 singida

REWELACYJNA Potańcówka w Złotym Dworze - szkoda że tak szybko minęło!

REWELACYJNA Potańcówka w Złotym Dworze - szkoda że tak szybko minęło!

Снято Случайно, Но Взорвало Интернет! Сумасшедшие Моменты с Животными!

Снято Случайно, Но Взорвало Интернет! Сумасшедшие Моменты с Животными!

POSA YACHANWA Mbele Ya WASHENGA Binondo  Pendo Fredy Fishboy ZunguCheupe Wanyaturu Talents video

POSA YACHANWA Mbele Ya WASHENGA Binondo Pendo Fredy Fishboy ZunguCheupe Wanyaturu Talents video

SINGIDA WAKIIMBA NYIMBO ZA KINYATURU

SINGIDA WAKIIMBA NYIMBO ZA KINYATURU

Mavr Mkrtchyan - Amen Hayr Surb | Armenian Sacred Hymn | Live Concert

Mavr Mkrtchyan - Amen Hayr Surb | Armenian Sacred Hymn | Live Concert

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]