Watatu mbaroni kwa wizi wa nyaya za umeme Kigoma
Автор: Azam TV
Загружено: 2021-01-27
Просмотров: 932
Описание:
Jeshi la polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuiba nyaya za umeme zenye thamani ya shilingi milioni 24 mali ya Shirika la Umeme nchini, Tanesco.
Hili ni tukio linalotajwa kufanyika kijiji cha Zeze ambapo askari polisi walipata taarifa kuwa kuna nyaya zimeibwa na zinasafirishwa kwenda Mwanza nakukata gari eneo la Lithness.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: