SHANGWE LAIBUKA BUNGENI OLESENDEKA KUWATAJA MAFISADI “NINGEKUWA WAZIRI HAKUNA AMBAYE ANGEBAKI”
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2023-11-04
Просмотров: 147832
Описание: Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Olonyokie Ole-Sendeka akichangia taarifa tatu za kamati za kudumu za bunge za Kamati ya kudumu ya bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)na kamati ya kudumu ya bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) kuhusu Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha ulioishia tarehe 30 Juni, 2022.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: