AFRIKA ITABAKI KUWA MASKINI NA TEGEMEZI ISIPOBADILI MIFUMO YA ELIMU
Автор: UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 1296
Описание:
Katika karne ya elimu na teknolojia, ambapo vyuo vimejaa wanafunzi na vitabu vinauzwa
kwa bei ya heshima, bado tunashuhudia jambo la kushangaza: wasomi wengi wako
gerezani. Gereza hili halina milango ya chuma, wala askari wa magereza bali
limejengwa kwa fikra zilizopandikizwa, mitazamo ya kigeni, na hofu ya kuhoji.
【Kumbuka tumepewa elimu ya kukariri sio ya kutoa sababu】
Hawa si wafungwa wa kimwili, bali wa kiakili. Wamefungwa katika dhana ya kwamba
elimu ni cheti, si mwanga; kuwa kufikiri ni hatari, na kubadilika ni uhaini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: