EAGT KWAFUKUTA, MAASKOFU WAVURUGANA
Автор: Umoja TV
Загружено: 2022-07-23
Просмотров: 12704
Описание: Siku chache baada ya Mgogoro wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde kumalizika, mgogoro mpya wa kiimani umeibuka ndani la Kanisa la Envangelistiki Assemblies of God Tanzania (EAGT) ambapo maaskofu wa kanisa hilo wameingia kwenye mgogoro wa kugombea madaraka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: