Dkt MWIZARUBI Amsaidia MAGUFULI Kazi Kwa Vitendo Arusha
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-08-12
Просмотров: 2277
Описание:
Dkt MWIZARUBI Amsaidia MAGUFULI Kazi Kwa Vitendo Arusha
Dkt. MOSSES MWIZARUBI ajitolea kukarabati majengo ya shule ya msingi Sinoni iliyopo katika jiji la ARUSHA, hali iliyotafsiriwa kuwa ni kumsaidia kazi Mh Rais Dkt. JOHN P. MAGUFULI katika halfa ya ukabidhishaji ya majengo hayo iliyofanyika katika shule ya msingi sinoni na kuudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama cha mapinduzi CCM kwa ngazi ya kata, mwakilishi wa mkurugenzi jiji la ARUSHA pamoja na wazazi.
MWIZARUBI ameahidi kuendelea kumsaidia Mh Rais katika ukarabati wa elimu kwa kadri atakavyojaliwa hauku akiwakaribisha wadau wengine kuungana na Mh Rais hil kutatua kero zilizopo kwenye jamii.
https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: