UFUNGUZI WA OFISI YA COGT MAKAO MAKUU
Автор: COGT ONLINE TV
Загружено: 2025-07-12
Просмотров: 200
Описание:
Hafla ya Uzinduzi rasmi wa ofisi ya Kanisa la Church Of God in Tanzania Makao Makuu yalipo Jijini Dodoma Imekamilika baada ya Mgeni rasmi kukagua na kuzindua rasmi
Katika Hotuba yake Mwangalizi wa Makanisa hayo ukanda wa Afrika Mashariki Mchungaji Charles Karagwa amesema Chucrh Of God Tanzania litaendelea kuwa imara na kuwa la mfano katika Ukanda wa Afrika Mashariki na hata kwa nchi nyingine nyingi za Afrika na hata nje ya bara la Afrika
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: