MAHAKAMANI PACHAFUKA! Wakili Mwasipu Ailipua Tume ya Uchunguzi Oktoba 29, Aibua Kasoro Nzito
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2026-03-17
Просмотров: 2107
Описание:
Katika video hii tunachambua hoja nzito zilizowasilishwa Mahakamani na Wakili Mwasipu kuhusu uhalali wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 nchini Tanzania.
Mbele ya Mahakama, wakili huyo alidai kuwa kuna kasoro kadhaa za kisheria ikiwemo matumizi ya jina la “Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi” ambalo halitambuliki kisheria, kutokubainishwa mada mahsusi ya uchunguzi, pamoja na madai kwamba baadhi ya wajumbe wa tume hawakuapishwa kama sheria inavyotaka.
Aidha, hoja nyingine ilihusu uteuzi wa makamishna wa tume hiyo na madai ya uwezekano wa upendeleo katika muundo wa tume hiyo.
Tazama uchambuzi kamili wa sakata hili la kisheria na kisiasa linalozungumzwa sana nchini Tanzania.Karibu HARAKATI TV, mahali ambapo unapata habari za siasa Tanzania zinazochambuliwa kwa kina, mjadala wa kisiasa, na uchambuzi wa matukio yanayoshughulisha nchi. Tunaleta habari za Tanzania leo, breaking news Tanzania, na taarifa muhimu kutoka bunge la Tanzania, viongozi wa serikali, na vyama vya siasa kama CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo.
Hapa, utapata kauli za wanasiasa, mjadala mitandaoni Tanzania, na uchambuzi wa hotuba unaokupa mwanga juu ya migogoro ya kisiasa, siasa za uchaguzi Tanzania, na mwelekeo wa siasa za nchi. Tunaangazia pia political commentary Tanzania, Tanzania political analysis, na Tanzania news analysis ili kukusaidia kuelewa matukio yote muhimu ya kisiasa nchini.
Subscribe ili usikose breaking political news, habari za kisiasa leo, na uchambuzi wa kina wa Tanzania politics today. Jiunge nasi kwenye mjadala wa kisiasa, toa maoni yako, na uwe sehemu ya jamii ya watu wanaopenda siasa Tanzania.
🔔 SUBSCRIBE / @harakatitv
#siasatanzania #PoliticalAnalysis #TanzaniaPolitics #ccm #chadema #tundulissu #HabariZaSiasa #breakingnews
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
📧 Wasiliana nasi: [ [email protected] ]
━━━━━━━━━━━━━━━━━━━
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: