ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Angel Benard - Mwanzo (Official Music Video)

Автор: Angel Benard

Загружено: 2023-09-30

Просмотров: 112223

Описание: Upana wa Mungu hauwezi kuelezeka. Katika miaka ya kuishi maisha ya imani nimejifunza jambo moja, sijui mengi kama nilivyodhani wakati Nina umri wa mwaka mmoja katika imani. Hatujui Kama tunavyodhani, hatumjui kama tunavyodhani. Mungu ni Mpana sana na njia zake zipo juu mno kuliko njia zetu. Anaweza fanya lolote lile, kwa namna yoyote ile, wakati wowote ule, kupitia mtu yeyote yule.

Yeye ni mwanzo kabla ya mwanzo tunaodhani tunaujua (Mwanzo 1:1) na ni mwisho baada ya mwisho tunaodhani tunaujua pia (Ufunuo).

Hakuna hata mmoja wetu ambae anahaki ya kumkatia Mungu tamaa. Mambo yote yatapita ila Mungu anabaki wa kuaminika. Kila kitu kitapita isipokuwa neno lililotoka katika kinywa cha Mungu.

Nakuombea usiyadharau mambo mapumbavu maana nayo hutumiwa kuthibitisha ukuu wa Mungu. Usidharau njia za Mungu au kuzichukia. Hatujui yote, na yeye ndio yote katika yote. Nakuombea urudishe na udumishe imani kwa Mungu, hatakuangusha. HAJAWAHI KUTUANGUSHA HATA PALE WANADAMU WANAPOKUANGUSHA.

Muamini mwanzo kabla ya mwanzo na mwisho kabla ya mwisho kuliko mazingira, hisia na hofu. Bwana ni wa KUAMINIKA.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Angel Benard - Mwanzo (Official Music Video)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Angel Benard   - NIMEONA ( Official live Video )

Angel Benard - NIMEONA ( Official live Video )

THE BEST OF ANGEL BENARD | HIT SONGS

THE BEST OF ANGEL BENARD | HIT SONGS

Джем – Angel Benard - Mwanzo (Official Music Video)

Джем – Angel Benard - Mwanzo (Official Music Video)

SokolovBrothers. Братья Соколовы

SokolovBrothers. Братья Соколовы

Angel Benard - Abba (Official Live Video)

Angel Benard - Abba (Official Live Video)

Powerful Swahili Worship Songs | Ombi Langu, Hakuna Silaha, Mimi Siwezi | Deep Prayer Worship Mix

Powerful Swahili Worship Songs | Ombi Langu, Hakuna Silaha, Mimi Siwezi | Deep Prayer Worship Mix

✨Gospel Blues - Everlasting Grace – a heartfelt blend of Christian Blues and soulful

✨Gospel Blues - Everlasting Grace – a heartfelt blend of Christian Blues and soulful

Patrick Kubuya : Moyo Wangu (Live Video Music)

Patrick Kubuya : Moyo Wangu (Live Video Music)

Angel benard - Nikumbushe wema wako (Official Video)

Angel benard - Nikumbushe wema wako (Official Video)

MERCY MASIKA FT ANGEL BENARD - HUYU YESU

MERCY MASIKA FT ANGEL BENARD - HUYU YESU

Angel Benard - Asante ( Official Music Video )

Angel Benard - Asante ( Official Music Video )

Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#

Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#

CeCe Winans - Holy Forever (Official Music Video)

CeCe Winans - Holy Forever (Official Music Video)

Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )

Ufunuo Choir - Usisahau ( Live Performance )

Angel Benard - Salama (Official Video)

Angel Benard - Salama (Official Video)

🎼 О небо, голубое небо / Христианские душевные песни ✨

🎼 О небо, голубое небо / Христианские душевные песни ✨

Rehema Simfukwe - Ndio (Live Music Video) SMS SKIZA  79110098 to 811

Rehema Simfukwe - Ndio (Live Music Video) SMS SKIZA 79110098 to 811

Elia Mtishibi Ft Zoravo - Jirani (Official Video)

Elia Mtishibi Ft Zoravo - Jirani (Official Video)

Angel Benard - Am grateful (Video Lyric)

Angel Benard - Am grateful (Video Lyric)

Его имя Иисус

Его имя Иисус

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]