Nyimbo za Wito za Katoliki(1)
Автор: Kimatu Music Compositions
Загружено: 2020-09-13
Просмотров: 15181
Описание:
Nyimbo za Wito za Katoliki(1) ni nyimbo ambazo zina maudhui ya wito. Kuna aina mbalimbali za wito: Upadri, Utawa, Ndoa, n.k. Tunapaswa kumshukuru na kumtumikia Mungu kupitia kwa miito yetu kwa kufuata kanuni zilizowekwa na Mungu.
Nakukaribisha kusikiliza na kutazama nyimbo hizi upate baraka tele. Usisahau ku subscribe kwa channel yangu na uisambazie wenzako.
Mungu awabariki
Build your website now! Make your products known to the world!https://hostfiti.com/ref/121/
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: