KIMYA | Alikaa Kimya… Lakini Ukweli Ulimuumiza (Short Film)
Автор: KASKASI FILMS
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 173
Описание:
Katika simulizi hii ya kusisimua na yenye mafundisho mazito, tunawaangalia vijana wawili wenye ndoto tofauti na mama yao anayepambana kuwalea. Mmoja ana uchu wa maendeleo na anaamua kufanya mambo yake kwa KIMYA kikubwa, jambo linalompelekea kujiingiza kwenye mambo mabaya na hatari.
Wakati huo huo, mwenzake aliyekuwa mjini kimasomo anakumbana na magumu ya maisha na kuamua kurudi kijijini kwa mama yake. Nini kitatokea pale siri za yule aliyekuwa akitafuta maisha kwa siri zitakapofichuka? Je, mama yao atastahimili pigo hili?
#Kimya #Simulizi #MaishaYaVijana #TanzaniaDrama #ShortFilm #Kijijini #Utajiri #ElimuYaJamii #Tanzania #YouTubeTanzania #SimuliziZaKweli
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: