Drackah stars Thank you God
Автор: Drackah stars
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 63
Описание: Habari naitwa Drackah stars napenda kuwa karibisha tena kusikiliza wimbo wangu mpya unaitwa thank you God ninaimani sote kwapamoja kupitia wimbo huu tukaendelee kubarikiwa na tueende kumshukuru mungu kwa mengi aliyo tutendea toka tulipo zaliwa hadi kufikia hivi sasa tulivo hakika mungu nimwenye upendo mkubwa sana kwetu naoomba pia mkaeendelee kunisapoti wapendwa wangu mkisikiliza msipite bila ku subscribe namungu awabariki sana wapendwa wangu pia usisahau ku like naku comment chochote unacho tamani kuniaambia nami nitatekeleza asanteni sana namungu awabariki sana wapendwa wangu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: