DARAJA LA MIL. 200 PWANI, WAZIRI UMMY ANENA "TUTAJENGA MADARAJA 690 CHINI YA RAIS SAMIA''-
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-09-21
Просмотров: 11472
Описание:
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) katika kutimiza kauli mbiu yake isemayo TARURA tunakufungulia barabara kufika kusiko fikika imejenga daraja lenye gharama ya shilingi milioni 200 linalounganisha barabara ya Mwanambaya - Mipeko katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoani Pwani.
Akikagua ujenzi wa Daraja hilo leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu amesema ameridhishwa na kazi ya ujenzi wa daraja la Mwanambaya – Mipeko na kuwapongeza TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga kwa usimamizi wenye weledi katika ujenzi huo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: