wewe ni mungu - bahati bukuku
Автор: Leonard Ngobole
Загружено: 2013-10-05
Просмотров: 2073177
Описание: Haijalishi unapita katika hali gani, lakini kumbuka kwamba MUNGU ANABAKI KUWA MUNGU, Kuwa na imani piga goti na umwambie haja ya moyo wako...Kama alivyoruhusu hayo uliyonayo yakupate mwambie vivyo hivyo na heshima ikufuate...Hakika kwa imani hiyo utauona utukufu wa MUNGU. Barikiwa Sana kwa Wimbo huu wa Mtumishi wa Mungu Bahati Bukuku
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: