The Giant Julius Charles: Mtanzania anayevaa viatu vya 'size' 18
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2021-09-27
Просмотров: 53764
Описание:
'Kuna wanaozimia wakiniona na wengine hukimbia'
'Kwa kawaida nakula chapati 5-6 kwa mkao mmoja'.
'Viatu vyangu size 18'
Huu ndio ukweli halisi anaokumbana nao kijana Julius Charles @the_giantjulius mkazi wa Jiji la Dar es salaam, Tanzania
Je ana mke na watoto ?
Kitanda chake kinatoshana vipi?
Anapenda kula nini?
Na mlango je ?
Ungana na mwandishi wetu @frankmavura kufahamu mengi zaidi kuhusu maisha ya kijana huyu mwenye vipaji lukuki.
.
.
#juliuscharles #thegiantjulius #tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: