MALAWI YAKABILIWA NA VITA DHIDI YA VVU BAADA YA MISAADA KUKATWA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 16
Описание:
Kuporomoka kwa huduma za afya nchini Malawi mwaka mmoja baada ya kupunguzwa kwa ufadhili wa Marekani kumeshusha kasi ya mapambano dhidi ya maambukizo ya Virusi vya Ukimwi.
Hatua hiyo inajiri wakati huu Mashirika ya Kutoa Huduma kwa Waathiriwa, wamedai baadhi ya watu walio katika mazingira magumu zaidi wanakabiliwa na kifo.
Ripoti ya Asha Kazambo inatujuza.
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: