Mganga Mkuu Mwananyamala ajifungia baada ya ndugu kudai maiti ya ndugu yao.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2012-09-21
Просмотров: 1717
Описание: Mganga mkuu wa hospitali ya Mwananyamala jijini Dar Es Salaam amelazimika kujifungia ndani ya ofisi yake baada ya ndugu waliofika hospitalini hapo kufuata maiti ya ndugu yao kuikosa bila kupewa maelezo yoyote.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: