Paul Maganga - Namwamini Ai Cover Official Video
Автор: Paul Maganga
Загружено: 2026-03-19
Просмотров: 51
Описание:
Verse1
Namwamini Mungu wangu
Namwamini yeye
Namwamini baba yangu
Namwamini tu
Yale amefanya kwangu mimi
Namwamini yeye
Yale ametenda kwangu mimi
Namwamini tu
Hakuna jambo gumu kwa Mungu
Yote yanawezekana
Iwe changamoto shida matatizo
Mungu yeye anaweza
Hakuna jambo gumu kwa Mungu
Yote yanawezekana
Iwe changamoto shida matatizo
Mungu yeye anaweza
Mkumbuke Danieli
Kwenye tundu la simba
Mungu alifunga vinywa vya simba
Danieli akapona
Mkumbuke naye Yona
Kwenye tumbo la samaki
Mungu alifunga samaki asimle
Ndani ya siku tatu
Na wewe ndugu yangu
Usikate tamaa
Mwamini Mungu yeye anaweza
Badilisha mambo
[Chorus]
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
[Verse 2]
Zile shida nazopitia
Yale magumu nayopitia
Changamoto nazopitia
Bado ninakuamini
Zile shida nazopitia
Yale magumu nayopitia
Changamoto nazopitia
Bado ninakuamini
[Bridge]
Bado Yesu ninakuamini
Bado Bwana ninakuamini
Bado Yesu ninakuamini
Bado Bwana ninakuamini wewe
[Chorus]
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
[Verse 3]
Japo wakati mwingine naona
Umechelewa kujibu
Lakini nakuamini Mungu wangu
Nakuamini wewe
Japo wakati mwingine naona
Nimechelewa kupata
Lakini nakuamini Mungu wangu
Nakuamini wewe
Kama Anna alisubiri kwa kipindi kirefu
Kwa muda wako ukamjibu
Ibrahimu na Sara mpaka uzeeni
Hawakupata mtoto
Kwa wakati wako
Bwana ukawajibu
#viral #video #namwamini #TrendingGospel
[Chorus]
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
Namwamini Mungu
Atanibariki
Namwamini Mungu
Nami atatendea
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: