WEWE BWANA NGUVU ZANGU
Автор: RAJO PRODUCTIONS
Загружено: 2019-05-08
Просмотров: 245874
Описание:
Shirika la Masista wa THE GRAIL TANZANIA (Mwanga - Kilimanjaro) wanamshkuru Mungu kwa kuweza kutimiza Jubilei ya miaka 50 ya utume wao Tanzania. Katika kuadhimisha Jubilei hiyo, wameandaa Album kwa lengo la Kumshukuru Mungu. Wimbo huu wa WEWE BWANA NGUVU ZANGU, ni miongoni mwa nyimbo zilizopo katika album hiyo inayoitwa CHOMBO CHA UTAKATIFU.
Karibu usikilize na kutazama na tusali kwa pamoja.
Kama ungependa kuwasiliana nao, waweza kupiga simu namba +255 783 283 188 , +255 654 680 924, +255 683 226 526
#kwayakatoliki
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: