Familia zaomboleza jamaa zao waliofariki katika ajali ya barabara Machakos
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-04
Просмотров: 3221
Описание: Familia saba zimetambua maiti za jamaa zao waliofariki ijumaa usiku kwenye ajali ya barabarani eneo la Katumani, kaunti ya Machakos. Ajali hiyo ilitokea baada ya basi la abiria kugongana na matatu usiku wa ijumaa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: