KILICHOWAKUTA WAKULIMA WA KAHAWA KAGERA, KATIKA USAJILI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-07-26
Просмотров: 477
Описание:
KAGERA: KAMPUNI ya Bizy Tech kwa kushirikiana na Bodi ya kahawa Tanzania TCB imeanza utekelezaji wa mpango wa utambuzi wa Kusajili wakulima wa Kahawa mkoani Kagera pamoja na mashamba ili kutekeleza matakwa ya Sheria ya utunzaji wa Mazingira ya jumuhia ya ulaya.
Afisa mkuu wa kampuni hiyo akitoa Mafunzo kwa wasajili wa zoezi Hilo maafisa kilimo ,wadau wa kahawa Halmashauri za mkoa wa Kagera Amesema kuwa zoezi Hilo ni usajili wa mashamba kidgatal linalenga kuhimiza utunzaji wa mazingira ya asili na kulinda uoto wa asili huku zoezi Hilo likitoa mwanga kwa wafanyabiashara wanaotaka kuuza kahawa Katika masoko ya ulaya kuuza kahawa hiyo bila Vikwazo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: