WANANCHI WA KIJIJI CHA MSOMERA WAKIPAZA SAUTI JUU YA ARDHI YAO.
Автор: ASALO TV Online
Загружено: 2023-04-17
Просмотров: 2598
Описание:
Wenyeji wa Msomera wilayani Handeni wameendelea kupaza sauti zao kudai ardhii yao ambayo imechukuliwa na kugawiwa kwa wananchi waliohamishwa na serikali kutoka Hifadhi ya Ngorongoro .
utasikia pia kauli ya serikali kuhusu Ardhi ya msomera namna ilivyogawanywa kwa wananchi wote wa msomera na wananchi kutoka Ngorongoro
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: