Makosa 4 Aliyofanya Polepole… Alisalitiwa na Wenzake?
Автор: Mwalimu Makoba
Загружено: 2025-12-06
Просмотров: 17467
Описание:
Humphrey Polepole tangu kutoweka kwake hajakauka midomoni mwa watu. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari, aliulizwa ni wapi aliko Polepole, Chalamila alijibu hafamu alipo.
Video hii inaibua fikra mpya, inawatahadhalisha watu wasikubali tu kuwa Polepole alitoweka akiwa Tanzania, badala yake, wafikirie Polepole pengine kuamua kujificha baada ya kugundua nia ovu ya aliokuwa akishirikiana nao.
Lakini inachochea fikra kidogo kwa kuwaza, vipi kama alioshirikiana nao waliamua kumsaliti?
Tunatamani Polepole apatikane, arejee na tuendelee kushindana naye kwa hoja!
Subscribe Katika Channel Yetu: / @mwalimumakoba
Tembelea Tovuti Yetu: https://www.mwalimumakoba.co.tz
Tufuatilie Instagram: / mwalimumakoba
Wasiliana Nasi WhatsApp: 0653 250 566
#HumphreyPolepole #Polepole #YukoWapiPolepole #UtekajiTanzania #BreakingNews #BreakingNewsTanzania #WatuWasiojulikana #JeshilaPolisi #SiasaTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: