WANANCHI KILINDI WAIANGUKIA SERIKALI UBOVU WA BARABARA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-10-11
Просмотров: 351
Описание:
WANANCHI wilayani Kilindi mkoani Tanga wameiomba serikali kuharakisha mradi wa ujenzi wa barabara ya kiwango Cha lami kutoka Handeni hadi kiteto mkoani Manyara Ili kurahisisha shughuli za kiuchumi ikiwemo usafirishaji wa mazao.
Rai hiyo wameitoa leo wakati Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Hemed Suleiman Abdula alipowasili kwa ajili ya mkutano wake na viongozi mbalimbali wa kichama na serikali.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: