SHERIA-Nyarugusu AY Choir(Official Video)
Автор: NYARUGUSU AY CHOIR
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 11926
Описание:
Je ni sheria zipi ambazo Yesu alipokufa msalabani ziliishia palepale na zipi ziliendelea?Limekuwa ni swali la watu wengi wakitaka kujua.Kwa ufupi ni kwamba
1.Sheria zote zilizohusiana na kafara na sikukuu za waisrael zilizohusika na upatanisho kwa kutoa kafara wanyama-hizi zilikomea msalabani
2.Sheria za kiutawala zilizohusiana na hukumu mfano mtu kupigwa mawe hata kufa anapotenda dhambi-hizi ziliishia msalabani.
3.Sheria za vyakula(kipi ni safi kwa kuliwa na kipi ni najisi na machukizo kwa Mungu-hizi ziliendelea hata baada ya Yesu kufa msalabani
4.Sheria za maadili yaani amri kumi za Mungu-hizi hazikuishia msalabani,hata Yesu alizitunza.
Which laws came to an end when Jesus died on the cross, and which ones continued? This has been a question many people have asked in seeking to understand the matter.
In summary:
1. All the laws relating to sacrifices and the Israelite festivals that involved atonement through animal offerings came to an end at the cross.
2. The civil or judicial laws concerning punishment — for example, stoning a person to death for committing certain sins — also ended at the cross.
3. The dietary laws (regarding which foods are clean to eat and which are unclean and detestable before God) continued even after Jesus died on the cross.
4. The moral law, namely the Ten Commandments of God, did not end at the cross; even Jesus Himself observed them.
Contact
Email:[email protected]
Phone no:+255768652134
+255755000788
+255757209270
 / nyarugusuaychoir
 / nyarugusuaychoir_
SONG CREDITS
Artist : Nyarugusu AY Choir
Lyrics & Composition: Enock Zabron
Audio: Kitula Record Studio
Phone no:+255764634625
Video: New Era film
Video director Crix
Phone no:+255785720968
Audio Rights Exclusively by Nyarugusu AY Choir
Video Rights Exclusively by Nyarugusu AY Choir
All rights reserved by Nyarugusu AY Choir 2026
GOD BLESS YOU
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: