Talking About Your Day in English | Jinsi ya Kusimulia Siku Yako kwa Kiingereza Rahisi
Автор: English Safi Online.
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 62
Описание:
Katika Lesson hii, utajifunza jinsi ya kuzungumza kuhusu siku yako kwa Kiingereza kwa kutumia sentensi rahisi na za kawaida zinazotumika kwenye mazungumzo halisi ya kila siku. Utajifunza misemo kama “I woke up early”, “I went to work”, “I had lunch”, na jinsi ya kujibu swali muhimu “How was your day?”. Somo hili limeandaliwa kwa wanaoanza na wanaotaka kuongeza ufasaha wa kuzungumza (speaking fluency) bila kutumia sentensi ngumu za kitabu. Tazama hadi mwisho, fanya mazoezi kwenye comments, na jiunge na English Safi Online kwa masomo mapya kila wiki. Fluent English Starts Here.
Tazama lessons zilizopita 👇👇👇
• Common Introductions & Small Talk in Engli...
• Lesson 2: Daily Greetings in English | Sal...
• Jinsi ya Kujitambulisha kwa Kiingereza | L...
#TalkingAboutYourDay #EnglishConversation #SpokenEnglish #LearnEnglishOnline #DailyEnglish #EnglishForBeginners #BasicEnglish #EnglishSpeakingPractice #EnglishLessons #ImproveYourEnglish #EnglishVocabulary #EnglishPhrases #HowToSpeakEnglish #EnglishGrammarBasics #FluentEnglish #PracticeEnglish #SimpleEnglish #EnglishForDailyUse #EnglishDialogue #RealLifeEnglish #EnglishCommunication #BeginnerEnglishLesson #LearnEnglishFast #EnglishCourseOnline #EnglishClass #SpeakEnglishConfidently #EnglishTraining #CommonEnglishPhrases #EverydayEnglish #EnglishStudy #EnglishTeacherOnline #OnlineEnglishLesson #SelfStudyEnglish #EnglishPracticeDaily #ConversationPractice #EnglishListening #EnglishLearningTips #HowToTalkInEnglish #EnglishForAfricans #ESL #ESLLesson #EnglishTutorial #BasicConversation #DailyRoutineEnglish #EnglishSafiOnline #FluentEnglishStartsHere #LearnEnglishStepByStep #EnglishVideoLesson #ImproveSpeakingSkills #EnglishForEveryone
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: