UKAE NAMI NO. 17 nyimbo za wokovu
Автор: NEEMA WORSHIP
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 478
Описание:
17. Ukae nami, giza inafika
1
Ukae nami, giza inafika! Usiniache, Mungu nakuomba! Unayejua udhaifu wangu, nategemea wewe, ‘kae nami!
2
Maisha yangu ni mafupi sana, uzuri wa dunia utakwisha. Kuna machozi, kufa huku chini, wewe Mwokozi wangu ‘kae nami!
3
Nakuitaji wewe siku zote, unaweza sana kunilinda. Wewe shujaa wakushinda wote. Katika hali zote ‘kae nami!
4#Ibada
#SifaNaKuabudu
#YesuNiBwana
#Mwokozi
#Maombi
#Imani
#Kanisa
Unionyeshe msalaba wako, nione nuru yako kati’ giza! Na nikiishi au nitakufa. Wewe, Mwokozi wangu ‘kae nami!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: