ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Maandamano ya Geita 1958: Namna Yalivyotikisa Serikali ya Wakoloni

Автор: The Chanzo

Загружено: 2026-01-16

Просмотров: 1952

Описание: Mnamo Julai 1958, takribani wananchi 6000 wa Wilaya ya Geita wanaandamana na kukutana katika kiwanja cha Nyamagana jijini Mwanza, ambapo waandamanaji hao wanaweka kambi katika uwanja huo kwa siku tano kuanzia Julai 21 mpaka Julai 25, 1958.

Waandamanaji hawa walikuwa wakipinga mabaraza mseto ya wilaya, wakitaka wanaharakati wa TANU waliokamatwa na kufungwa waachiliwe na kesi kufutwa. Kufuatia maandamano hayo kulitokea mabadiliko makubwa ya msimamo wa serikali ya kikoloni, hasa juu ya kuharakisha Uhuru wa Tanganyika.

Fuatilia zaidi makala hii inayoangalia kiundani tukio hilo la kihistoria Tanganyika.

Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Maandamano ya Geita 1958: Namna Yalivyotikisa Serikali ya Wakoloni

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Ukweli uliofichwa juu ya historia halisi ya waliopigania Uhuru wa Tanganyika

UVIRA : 🔴 LIVE – RETRAIT DES DERNIERS MILITAIRES DE L’AFC/M23, UNE FORCE NEUTRE ATTENDUE

JE, WAJUA! TANGANYIKA NI JINA LA WAKOLONI?

MOHAMED SAID: GAIDI MUUZA UNGA!

MOHAMED SAID: GAIDI MUUZA UNGA!

Meya wa mji mkuu wa Ukraine, Kyiv awaomba wakazi kuondoka kwenye mji huo

WILLIAM AMURI YAKUTUMBA ASEMA SIRI NZITO YA WATU WALIO SALITI INCHI YA CONGO

Սոլովյովը, թալանչիների պարգևավճարները, Կրեմլն ու Հայաստանը | Platform 85

BODA2BODA EP41: Mshkaji wangu Charle alikufa yeye na familia yake wamekombatiana, Nakula sana majani

Mapinduzi ya Zanzibar: Usoyajua kuhusu walioshiriki kuipindua serikali ya Zanzibar Januari 12, 1964

RAHBY - ISRAEL, MAREKANI NA HEKAYA ZAO NDANI YA IRAN

Miaka 30 ya Uwakili ya Rugemeleza Nshala na Safari ya Utawala wa Sheria Tanzania

Mnyika Awatia Moyo Vijana wa CHADEMA: 'Mko Kwenye Njia Sahihi'

LIVE: Wenyeviti wa Mikoa wa CHADEMA Watoa Tamko Rasmi

DUDU BAYA AKINUKISHA TEANA BAADA YA KUONA VIDEO YA MKUBWA FELA NA MKEWE

Wiadomości wPolsce24 pełne wydanie z dnia 17.01.2026

Juma Zangira: Afisa Usalama wa Taifa Aliyeshitakiwa Kwa Kosa la Ujasusi Dhidi ya TZ (Espionage) 1977

MSIKIE PETER MADELEKA KUHUSU WATU KUBAMBIKIZIWA KESI/ AMTAJA TUNDU LISSU

Mwanzo Mwisho Alichokisema Jaji Mkuu Masaju Mbele ya Rais Samia, Dodoma

John Mnyika Afunguka Kesi ya Lissu: 'Wanahofia Akiachiliwa Ataongeza Nguvu-Wanaongeza Mpasuko'

18.01.26 M23/RDF 25 WAME UAWA POINT-ZERO VITA-KIRUNGU/ M23/RDF WAONDOKA UVIRA.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]