ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

DC KISWAGA AMEFUNGA MAFUNZO KIJESHI OPERESHENI MIAKA 60 YA MUUNGANO KUNDI LA HIARI MAKUYUNI JKT

Автор: MONDULI TV ONLINE

Загружено: 2025-04-16

Просмотров: 8156

Описание: Leo Tarehe 16 Aprili 2025 Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe.Festo Kiswaga amefunga mafunzo ya hiari ya vijana wa wajeshi la kujenga Taifa 839 KJ Makuyuni kilichopo wilayani Monduli.

Mhe Kiswaga amewahasa Vijana kutokubali kudanganywa na kujiunga na makundi ya uhalifu kwani watakuwa wasaliti wa Taifa lao,

Mh Kiswaga amewasisitiza vijana kuwa na mtumizi sahihi ya mitandao ya kijamii pamoja na hayo amewakumbusha kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi na kila Mtanzania atumie fursa hiyo kuchagua viongozi na pamoja na kutunza amani.

Risala ya wahitimu hao
imeeleza kwamba walianza mafunzo hayo Disemba 2024 Hadi Leo vijana watatu hawajafanikiwa kuhitimu mafunzo hayo kwasababu mbalimbali.Na kueleza mafanikio waliyopata toka kujiunga kwenye mafunzo yamewaongezea ufahamu pamoja na kujifunza uzalendo na uvumilivu

Naye Andrew Denis lwanda luteni Kanali kamanda kikosi 839 amesema lengo mafunzo hayo waliyopata ni kuwafundisha vijana ni uzalendo kwa kupata ujuzi pamoja na kujifunza stadi za maisha.

Kanali George Barongo Kazaula mwakilishi wa mkuu wa Jeshi la kujengaTaifa(Jkt) Meja Jenerali Rajab Mabele kwa niaba yake ameeleza
mafunzo haya ni mwendelezo wa maono ya Mwasisi wa Taifa hili Mwl.Julius Nyerere kuwaandaa vijana kutumia Mafunzo na elimu waliyopata kulinda na Nchi yao.

Brigedia general Mwilambege Justas Kitta Mwakilishi wa mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda amesema mafunzo haya yanamfanya kijana kuwa hodari, nidhamu mzalendo na kuwa tayari kwenda kulitumikia taifa la Tanzania, amewapongeza vijana wote kukubali kujiunga na jeshi la kujenga taifa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
DC KISWAGA AMEFUNGA MAFUNZO KIJESHI OPERESHENI MIAKA 60 YA MUUNGANO KUNDI LA HIARI MAKUYUNI JKT

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

VIDEO: UTAIPENDA HII, GWARIDE LA WAHITIMU MAFUNZO YA JKT BULOMBORA

VIDEO: UTAIPENDA HII, GWARIDE LA WAHITIMU MAFUNZO YA JKT BULOMBORA

BRIGEDIA JENERALI HASSAN MABENA  AMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UFUNGAJI WA MAFUNZO -  LUWA JKT

BRIGEDIA JENERALI HASSAN MABENA AMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA UFUNGAJI WA MAFUNZO - LUWA JKT

UTAPENDA, Kwata ya Miguu (Foot Drill) Walichokifanya Vijana wa JKT, Nidhamu Kwenda mbele

UTAPENDA, Kwata ya Miguu (Foot Drill) Walichokifanya Vijana wa JKT, Nidhamu Kwenda mbele

DC MONDULI GLORIANA KIMATH AMEFUNGA MAFUNZO KIJESHI YA AWALI KIKOSI CHA JESHI 839 KJ MAKUYUNI JKT.

DC MONDULI GLORIANA KIMATH AMEFUNGA MAFUNZO KIJESHI YA AWALI KIKOSI CHA JESHI 839 KJ MAKUYUNI JKT.

Удар США по РФ / Внезапное заявление Трампа

Удар США по РФ / Внезапное заявление Трампа

PAREDI LA  UFUNGAJI WA KOZI YA LEVO 3 MKUPUO WA 6 KATIKA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI PANGATUPU

PAREDI LA UFUNGAJI WA KOZI YA LEVO 3 MKUPUO WA 6 KATIKA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI PANGATUPU

SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO KWA ASKARI WAPYA WA JESHI LA MAGEREZA ZAFANA

SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO KWA ASKARI WAPYA WA JESHI LA MAGEREZA ZAFANA

GWARIDE  Mwendo wa Pole, Mwendo wa Haraka na Kutoa Heshima Kwa Mgeni Rasmi Ufungaji Mafunzo ya JKT

GWARIDE Mwendo wa Pole, Mwendo wa Haraka na Kutoa Heshima Kwa Mgeni Rasmi Ufungaji Mafunzo ya JKT

⚡НАКИ: Путин ОБЪЯВИЛ ТАКОЕ, ЧТО Трамп ПРОЗРЕЛ! США ПОРЖАЛИ с Кремля. Главный ПОЗОР Москвы

⚡НАКИ: Путин ОБЪЯВИЛ ТАКОЕ, ЧТО Трамп ПРОЗРЕЛ! США ПОРЖАЛИ с Кремля. Главный ПОЗОР Москвы

Ziara ya Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele kikosi cha  Msange JKT mkoani Tabora

Ziara ya Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele kikosi cha Msange JKT mkoani Tabora

Mhe. Charles Makongoro Nyerere, amewataka Vijana wa JKT  Op Nishati safi kutumia vema mafunzo ya JKT

Mhe. Charles Makongoro Nyerere, amewataka Vijana wa JKT Op Nishati safi kutumia vema mafunzo ya JKT

832 KJ RUVU JKT GWARIDE MWENDO WA HARAKA OP. MIAKA 60 YA MUUNGANO

832 KJ RUVU JKT GWARIDE MWENDO WA HARAKA OP. MIAKA 60 YA MUUNGANO

SHUHUDIA KWATA ZITO LA KUFUNGA MAFUNZO YA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA KAMBI 839 KJ MAKUYUNI

SHUHUDIA KWATA ZITO LA KUFUNGA MAFUNZO YA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA KAMBI 839 KJ MAKUYUNI

UTAPENDA UKAKAMAVU WA VIJANA  JKT MAKUYUNI KWA MUJIBU WA SHERIA.

UTAPENDA UKAKAMAVU WA VIJANA JKT MAKUYUNI KWA MUJIBU WA SHERIA.

Angalia Salamu ya Utii ya Jeshi na Gwaride Maalum: Wanajeshi Waonesha Ukakamavu wa Kipekee

Angalia Salamu ya Utii ya Jeshi na Gwaride Maalum: Wanajeshi Waonesha Ukakamavu wa Kipekee

MWANZO MWISHO GWARIDE LA NDANI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JWTZ.

MWANZO MWISHO GWARIDE LA NDANI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JWTZ.

SARAKASI. Tazama Uwezo wa Vijana wa JKT Ulioonyeshwa Mbele ya Waziri wa Ulinzi na JKT

SARAKASI. Tazama Uwezo wa Vijana wa JKT Ulioonyeshwa Mbele ya Waziri wa Ulinzi na JKT

Brigedia Jenerali George Itan'gare  ahitimisha Mafunzo ya JKT Itaka Mkoani Songwe

Brigedia Jenerali George Itan'gare ahitimisha Mafunzo ya JKT Itaka Mkoani Songwe

LIVE: RAIS SAMIA AKISHIRIKI KILELE CHA MIAKA 60 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ)

LIVE: RAIS SAMIA AKISHIRIKI KILELE CHA MIAKA 60 YA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ)

CELEBRATIONS TO MARK 49 YEARS ON TANGANYIKA AND ZANZIBAR UNION 2013  (Part 1)

CELEBRATIONS TO MARK 49 YEARS ON TANGANYIKA AND ZANZIBAR UNION 2013 (Part 1)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]