ELIMU INAWEZA BADILI MAISHA YAKO USIKATE TAMAA RUDI TENA SHULE UTANISHUKURU
Автор: British School tz
Загружено: 2025-10-08
Просмотров: 113
Описание:
Hii ni Zaidi ya upendo Kwa watanzania— ni mwanga kwa wale waliokata tamaa, ni tumaini jipya kwa ndoto zilizokufa moyo.
Kwa wale waliokutana na ugumu wa maisha, The British School iko kwa ajili yako. 🙏
Kupitia elimu bora na mipango madhubuti, tunahakikisha kila Mtanzania ana nafasi ya kufikia ndoto zake.
🌍 Elimu ni nguvu, na sisi tumejitoa kuhakikisha unainuka tena.
📍Tupo Mwenge ITV, Dar es Salaam — tunatazamana na Kanisa la KKKT Mwenge.
📞 Wasiliana nasi: 0655 400 420 au 0755 400 420.
Karibu The British School – knowledge for school.
#TheBritishSchoolTZ #ElimuNiMsingi#TunaaminiNdotoZako #UsikateTamaa #FursaKwaWote #ElimuKwaWote #JitambueInukaTimiza #DarEsSalaamSchools #MwengeITV #KunaMsaada
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: