Mtikila afariki kwa ajali, majeruhi asimulia
Автор: Tununu
Загружено: 2015-10-04
Просмотров: 15168
Описание:
Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia leo asubuhi baada ya gari alilokuwa anasafiria kupinduka kijiji cha Msolwa Chalinze.
Majeruhi mchungaji Patrick Mgaya amesema gari hiyo waliyoikodi kutoka Njombe mpaka Dar es Salaam ilipinduka baada ya kumshinda nguvu dereva wakati akijaribu kukwepa malori mawili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: