ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Salama Na BILLNASS SE6 EP57 | MJUKUU PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2023-03-06

Просмотров: 92694

Описание: #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Katika pita pita zangu siku si nyingi nilimsikia mtu akimzungumzia mgeni watu wa wiki hii kwamba ni ‘Jay Z’ wa Bongo na si kwasababu kamuoa mmoja wa wasanii hodari wa kike na ambao wako juu ki muziki, ila pia akili yake ya kibiashara kwa kiasi kikubwa imemfanya yeye aone hivyo. Kwa ufahamu wangu niliambiwa na kushuhudia suala la maneno na mawazo ‘kuumba’. Pale mtu au watu wanapo kuona na ukichanganya na juhudi zako na nia na madhumuni ya wewe kutaka kufika pale basi mengine kutimia huwa ni suala la wakati tu.
Hivyo pia ndivyo ambavyo mimi namuona Ndugu William Nicholaus Lyimo almaaruf Bill Nass. Mara yangu ya kwanza kukutana nae uso kwa macho ni miaka kama sita au saba iliyopita wakati nafanya kipindi cha Ngaz kwa Ngaz special edition. Ambacho mimi na Josh Murunga tulikua tunafanya ilikua kuwapa nafasi wasanii hodari kuwa ma host wa countdown hiyo ya ngoma zao kali 20 kwa wakati huo na kuzitolea maelezo yake. Kwa Bill Nass ilikua kama kumtafuta Kuku tu, yaani RAHISI sana. Alikua natural wataalam wanasema, kuanzia matamshi (haya wengi huwashusha hadhi kwa kiasi flani) mpaka swagg ambayo mtangazaji anatakiwa awe nayo kwake ilikua ipo. Kuvaa kwake, kuheshimu wakati na kuskiliza maelekezo na kisha kuyafanyia kazi ilikua 100, na mimi kwenye hili nilikua mtazamaji tu, kazi kubwa aliifanya Ndugu Josh akiwa kama Director. Yangu matumaini Bill Nass siku moja atataka kufanya kitu kama kile maana kitamfaa mno na itakua moja ya income zake nyingi ambazo anazo.
Kwake yeye kuamua kumuoa mmoja ya wasanii hodari wa kike ambaye ana mashabiki wengi na pengine wengi wao ni wanaume nadhani lilikua si amuzi mdogo kwao wote wawili. Wawili hawa mahusiano yao yalikua hadharani kwa sote kuyaona na kuwa na maoni nayo. Kuanzia ku leak kwa video yao ya faragha mpaka mahusiano ya mkewe na Marehemu Ruge, kila kitu kilikua nje nje. Je haya yaliathiri au kuyajenga mahusiano yao kwa kiasi gani?
Vipi kuhusu suala la Marehemu Godzilla ambaye kulikua na shutma kwamba alikua anauiga style yake na baadhi ya Radio zilikua zinampa nafasi yeye ili kumficha Zilla? Na je suala la kifo chake ambalo lilimleta yeye karibu na mtoto wa Zilla? Hii ilikua inamsumbua vipi wakati watu wanasema hivyo? Na je alikua anaona jinsi ambavyo ilikua inamsumbua Zilla?
Ukiachana na muziki Nenga pia ni mfanyabiashara mzuri tu ambaye amekua akitumia jina lake ipasavyo ili kuweza kujitengenezea kipato cha pembeni ambacho ni cha uhakika zaidi kuliko mziki ambao anafanya. Nna uhakika na yeye anajua kwamba ana uhakika wa kuuza electronics zaidi kwa mara nyingi kuliko uhakika wa kuwa na hit song nyingi kwa mwaka. Na hiyo haimaanishi kama yeye si msanii HODARI ila zaidi kwenye suala la wimbo kuwa mzuri lakini watu wasiupokee kama matarajio yanavyokua.
Humu pia tulichambua kiasi kuhusu jina lake ambalo amelirithi. Majukumu, biashara, mapenzi, urafiki, usia na familia.
Ningependa u enjoy kama ambavyo sisi tu enjoy wakati tunaongea.
Love,
Salama.

Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs

Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa

Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...  

Follow:
Twitter:   / yahstonetown  
Instagram:   / yahstonetown  
Facebook:   / yahstonetown  

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na BILLNASS SE6 EP57 | MJUKUU PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Salama Na ANNA TIBAIJUKA SE6 EP58 | LA PROFESSEUR PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na ANNA TIBAIJUKA SE6 EP58 | LA PROFESSEUR PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na BILLNASS SE6 EP57 | MJUKUU PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na BILLNASS SE6 EP57 | MJUKUU PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel

Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel

NANDY AFUNGUKA KUPUNGUZA MARAFIKI KISA MUMEWE, AKERWA NA MARAFIKI WA BILLNASS, AMTAJA YAMMY

NANDY AFUNGUKA KUPUNGUZA MARAFIKI KISA MUMEWE, AKERWA NA MARAFIKI WA BILLNASS, AMTAJA YAMMY

MAISHA, UBABE & MITIKASI YA SOUTH AFRIKA - PAUL KONYAKI

MAISHA, UBABE & MITIKASI YA SOUTH AFRIKA - PAUL KONYAKI

A - Z: MJANE ALIVYOTAPELIWA NYUMBA na SHEMEJI YAKE - MADUDU ya KUTISHA ARDHI - CHALAMILA AFOKA....

A - Z: MJANE ALIVYOTAPELIWA NYUMBA na SHEMEJI YAKE - MADUDU ya KUTISHA ARDHI - CHALAMILA AFOKA....

MBOSSO, BILLNASS & WHOZU. BASATA FULL STORY - USWEGE MURDERER

MBOSSO, BILLNASS & WHOZU. BASATA FULL STORY - USWEGE MURDERER

Salama Na KING AliKiba SE6 Ep 03 FULL SHOW | DELIGHTFUL Part 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na KING AliKiba SE6 Ep 03 FULL SHOW | DELIGHTFUL Part 1| SendTip MPESA LIPA NO 5578460

KAULI YA ALI KAMWE KUHUSU NUSU FAINALI| DUBE NA MZIZE VIPI?/MSIKIE HAPA.

KAULI YA ALI KAMWE KUHUSU NUSU FAINALI| DUBE NA MZIZE VIPI?/MSIKIE HAPA.

Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1

Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1

PART 3: HARMONIZE ALIPOULIZWA KUHUSU KUMUOMBA PAULA MSAMAHA, KUACHANA NA POSH, ANJELLA NA MENGINE

PART 3: HARMONIZE ALIPOULIZWA KUHUSU KUMUOMBA PAULA MSAMAHA, KUACHANA NA POSH, ANJELLA NA MENGINE

TOBAA!!! MCHUNGAJI AMTUKANA RAISI SAMIA AMLIPUA VIBAYA SANA ASEMA HANA AKILI AFICHUA MAZITO YA IKULU

TOBAA!!! MCHUNGAJI AMTUKANA RAISI SAMIA AMLIPUA VIBAYA SANA ASEMA HANA AKILI AFICHUA MAZITO YA IKULU

CHID BENZ HAJAWAI KUONGEA HAYA! Ruge, Sio Marehemu, Bado yupo!

CHID BENZ HAJAWAI KUONGEA HAYA! Ruge, Sio Marehemu, Bado yupo!

MAPYA YAIBUKA SAKATA LA WACHINA WALIOKAMATWA NA MABILIONI, TAKUKURU WATOA TAARIFA NZITO WASEMA.....

MAPYA YAIBUKA SAKATA LA WACHINA WALIOKAMATWA NA MABILIONI, TAKUKURU WATOA TAARIFA NZITO WASEMA.....

Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio - Msasa na Hanscana

Matamu na machungu ya kutafuta mafanikio - Msasa na Hanscana

BILLNASS AFICHUA NANDY ALIVYOKUBALI KUWA MCHEPUKO WAKATI AKIWA NA MPENZI MWINGINE

BILLNASS AFICHUA NANDY ALIVYOKUBALI KUWA MCHEPUKO WAKATI AKIWA NA MPENZI MWINGINE "NILIMCHAGUA YEYE"

Adam Mchomvu:

Adam Mchomvu: "Ofa Zinakuja, Wanakopi Kile Tunafanya, Tushapigwa Mawe Sana |SALAMA NA ADAM MCHOMVU 2

BEHIND THE GRAM EP 1 :  MAISHA YA KAJALA NA PAULA

BEHIND THE GRAM EP 1 : MAISHA YA KAJALA NA PAULA

Zembwela Kuhusu Ndoa

Zembwela Kuhusu Ndoa "Kuna Mke Mke, Mke Mke Wenu Na Mke Mkeo" | SALAMA NA ZEMBWELA PT 2

𝐋𝐈𝐕𝐄🔴 : USIKU WA SEND OFF YA NANDY (THE AFRICAN PRINCESS) | GOLF CLUB

𝐋𝐈𝐕𝐄🔴 : USIKU WA SEND OFF YA NANDY (THE AFRICAN PRINCESS) | GOLF CLUB

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]