ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MJUE ELIAS KIHOMBO A-Z T.O BORA WA MUDA WOTE TANZANIA, ALIKUWA NA AKILI BALAA,SAYANSI ILIKUA KICHWAN

Автор: MABENA TV

Загружено: 2026-02-26

Просмотров: 9509

Описание: #EliasKihombo #physics #HistoriayaTowa2006EliasKihombo
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga

Kidato cha nne pia alihitimu Tosamaganga 2003, inaelezwa alipata division 1.14 akiwa na alama A katika Physics na Chemistry pamoja na B katika Mathematics na Biology, hivyo matokeo yake Kidato cha nne japo alifanya vizuri lakini wengi hawakumtarajia sana kama angekuja kushika nafasi ya Kwanza kitaifa form 6 kwa kupata alama za juu zaidi

Baada ya form six alijiunga na University Of Dar es salaam(UDSM) alichukua BSc In Telecommunication Engineering(4yrs) lakini ikiwa imebaki miezi michache kabla hajahitimu inaelezwa ali-disco katika hali ambayo imewaacha wengi na maswali vichwani

Hata hivyo, mitandaoni wengi waliosoma michepuo ya PCM na PCB wanamsifu sana Elias Kihombo kwamba alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufundisha hasa Physics hata maswali magumu yaliyo watatiza wengi bila yeye kushika kitabu. Ali-solve maswali Kwa njia wanayojua wengi kisha wanasema alikuwa akitumia njia nyingine kama tano wasizozijua au za kwake halafu jibu linakuja lilelile

Elias Kihombo alizunguka katika shule nyingi kongwe na maarufu za secondary zenye wanafunzi wanaotajwa kuwa na vipaji maalum aliwasaidia, alijaza watu wengi sana katika tuitions zake wanafunzi waliambiana akija wasikose kwenda. Imeeleza hata kabla hajahitimu degree yake ya kwanza tayari alitunga vitabu vyake vya Physics ambavyo viliuzika sana

Baada ya ku-disco UDSM, inaelezwa takribani miaka nane baadaye alirudi tena kuanza upya kusoma BSc In Petroleum Engineering ila kabla ya kuhitimu alifar!ki dunia 2020

Kwa siku kadhaa sasa, mitandaoni Elias Kihombo posts kumhusu zinasambaa sana wengi waliopitia mikononi mwake katika somo la Physics wakimtaja kwamba bila shaka yeye ndie Tanzania One maarufu zaidi na genius zaidi kuwahi kutokea Bongo. Inaelezwa shule nyingi za secondary zilitaka kumpa ajira ya kudumu kufundisha ila alikataa ili kufanya ziara zake za kufundisha tuition shule mbalimbali nchini

Nini mtazamo wako, kuna T.O mwingine mkali zaidi kumzidi Elias Kihombo?

Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MJUE ELIAS KIHOMBO A-Z T.O BORA WA MUDA WOTE TANZANIA, ALIKUWA NA AKILI BALAA,SAYANSI ILIKUA KICHWAN

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MEMKWA SCHOOL [EP 14]

MEMKWA SCHOOL [EP 14]

GENIUS HAJAWAHI PATA ZERO, KOTE KASOMA KATA, FORM FOUR DIV. 1.7, SIX DIV 1.3

GENIUS HAJAWAHI PATA ZERO, KOTE KASOMA KATA, FORM FOUR DIV. 1.7, SIX DIV 1.3

MWINJILISTI MTOTO ANAYETRENDI APINGA MANABII KUTUMIA MAFUTA - ISHU ya KUFUNGUA KANISA - NI LAANA!

MWINJILISTI MTOTO ANAYETRENDI APINGA MANABII KUTUMIA MAFUTA - ISHU ya KUFUNGUA KANISA - NI LAANA!

WASTARA : MAPENZI YANGU NA DUDU BAYA YALIAZA KWA KUTUKANANA

WASTARA : MAPENZI YANGU NA DUDU BAYA YALIAZA KWA KUTUKANANA

KAULI YA JAJI MSTAAFU JOSEPH WARIOBA Mazishi ya Kadinali Pengo

KAULI YA JAJI MSTAAFU JOSEPH WARIOBA Mazishi ya Kadinali Pengo

KIJANA ALIYEONGOZA KIMASOMO TANZANIA NZIMA MARA MBILI ATOA SIRI YA MAFANIKIO: MUNGU, VITABU,WAZAZI

KIJANA ALIYEONGOZA KIMASOMO TANZANIA NZIMA MARA MBILI ATOA SIRI YA MAFANIKIO: MUNGU, VITABU,WAZAZI

MTOTO ANTONY AMALIZA DARASA LA SABA APATA

MTOTO ANTONY AMALIZA DARASA LA SABA APATA "A" MASOMO YOTE, ALIMSHTAKI BABA YAKE KAGERA

DULLA MAKABILA Afunguka KUDATE MAMA HAMISA MOBETTO /AMCHANA ALLY KAMWE Kupenda WANAWAKE/AGREY KUOKOK

DULLA MAKABILA Afunguka KUDATE MAMA HAMISA MOBETTO /AMCHANA ALLY KAMWE Kupenda WANAWAKE/AGREY KUOKOK

HAJI MANARA ATHIBITISHA MIMI SIO YANGA TENA AMPASUA VIBAYA ALLY KAMWE YANGA SIO YA BABAKE SIMBA BORA

HAJI MANARA ATHIBITISHA MIMI SIO YANGA TENA AMPASUA VIBAYA ALLY KAMWE YANGA SIO YA BABAKE SIMBA BORA

USIKU HUU AHMED ALLY ALIAMSHA DUDE

USIKU HUU AHMED ALLY ALIAMSHA DUDE "TUMEFUNGWA SANA NA YANGA SASA INATOSHA/ AJIBU MAPIGO KUHUSU TIZI

LEONARDO ALIVYOCHEKESHA KWENYE UZINDUZI WA GO GREEN NA IMBEJU KUTOKA CRDB FOUNDATION

LEONARDO ALIVYOCHEKESHA KWENYE UZINDUZI WA GO GREEN NA IMBEJU KUTOKA CRDB FOUNDATION

MANENO MAZITO YA NCHIMBI MSIBANI, BILA HOFU AWAKAANGA WANAOWANYANYASA WAPINZANI,

MANENO MAZITO YA NCHIMBI MSIBANI, BILA HOFU AWAKAANGA WANAOWANYANYASA WAPINZANI, "NI UJINGA TU"

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akifunguka kuhusu ‘Dabi’

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akifunguka kuhusu ‘Dabi’

#LIVE 🔴 Busati la Mtoro Na Sheikh Maulidi Mapande (10)

#LIVE 🔴 Busati la Mtoro Na Sheikh Maulidi Mapande (10)

FAHARI YETU - SAID SALIM BAKHRESA INTERVIEW | EPISODE 33

FAHARI YETU - SAID SALIM BAKHRESA INTERVIEW | EPISODE 33

PROF. TIBAIJUKA: NINA DEGREE 15 | MIKATABA INAYOFICHWA MIBOVU | TOFAUTI YA GEN Z WA TZ NA KENYA..

PROF. TIBAIJUKA: NINA DEGREE 15 | MIKATABA INAYOFICHWA MIBOVU | TOFAUTI YA GEN Z WA TZ NA KENYA..

HECHE NA MBATIA WAELEZA WALIVYOMJUA KADRINALI PENGO

HECHE NA MBATIA WAELEZA WALIVYOMJUA KADRINALI PENGO

Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026

Yanga SC 5-0 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 25/02/2026

Misa ya Mazishi ya Kardinali Pengo: MTAFARUKU Kanisani!

Misa ya Mazishi ya Kardinali Pengo: MTAFARUKU Kanisani!

Rahby- Iran yashambulia nchi zote za ghuba kasoro Oman pekee

Rahby- Iran yashambulia nchi zote za ghuba kasoro Oman pekee

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]