USIFANYE LOLOTE 2026 PASIPO NA YESU KRISTO........
Автор: Kambi Ya Wateule [Pst Benson Mwanza]
Загружено: 2026-01-04
Просмотров: 148
Описание: Yohana 6:17-21 wakapanda chomboni, wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaumu. Nako kumekwisha kuwa giza, wala Yesu hajawafikia.Na bahari ikaanza kuchafuka kwa kuvuma upepo mkuu.Basi wakavuta makasia kadiri ya maili tatu nne, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari na kukikaribia chombo; wakaogopa.Naye akawaambia, Ni mimi, msiogope.Basi wakataka kumpokea chomboni; na mara hiyo chombo kikaifikilia nchi waliyokuwa wakiiendea.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: