ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2021-11-07

Просмотров: 70119

Описание: Je ni kweli kwamba unaweza kupata Hedhi katika kipindi cha Ujauzito?

Hapana!
Ukweli ni kwamba mara baada ya kupata Ujauzito au Mimba huwezi kupata Hedhi, Baadhi ya Wajawazito hususani wale ambao hupata Mimba kwa Mara ya Kwanza (Prime gravida) huweza kuchanganya wanapotokwa na Damu mwanzoni mwa Ujauzito na Hedhi yao!

Tafiti zinaonesha kwamba asilimia 10 mpaka 15 ya Wajawazito huweza kupata Dalili za kutokwa na Damu katika Ujauzito wao hususani Mimba inapokuwa chini ya wiki 16 au chini ya Miezi 4 ya Ujauzito.

Kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito huweza kuhatarisha Mimba yako na matokeo yafuatayo mfano;

1. Mimba Kutoka au kuharibika na hivyo kutojifungua Mtoto wako.

2. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati.

3. Kujifungua Mtoto mwenye Uzito wa chini zaidi.

4. Kupungukiwa Damu ktk kipindi cha Ujauzito au hata baada ya kujifungua au Mimba yako kuharibika.

MAMBO YANAYOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU.

1.Mimba kutishia kutoka au kuharibika kabla ya kujifungua!

2. Kondo la Nyuma linapojishikiza kwenye Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa Damu katika kipindi Cha Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito ambapo hutokea katika siku zile zile ambazo Hedhi ya kawaida ingetokea japokuwa huwa kunakuwa na utofauti na Hedhi ya kawaida Damu hutoka kidogo na kwa siku chache na badae hukata yenyewe.

3. Mimba kutunga nje ya Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa na Damu ktk cha kipindi Cha Ujauzito (Arias Stella Reaction) hususani mwanzoni mwa Ujauzito chini ya wiki 12 za Ujauzito kutoka na Upungufu au uzalishwaji mdogo wa Homoni ya Progesterone ukilinganisha na Mimba ya kawaida.

4. Mimba Zabibu, Mimba Zabibu kwa kawaida huwa lazima iharibike au itoke baada ya muda fulani wa Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito (Chini ya wiki 16) hivyo huwesa kupelekea kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito.

5. Sababu zisizo Julikana, kuna baadhi ya Wajawazito hutokwa na Damu bila kuwa na sababu zinazojulikana au zinazopelekea kutokwa Damu katika kipindi cha Ujauzito.

KUMBUKA: Asilimia nyingi ya Wanawake wanaotokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito hujifungua Salama Watoto wao.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...
©Dr.Mwanyika

#drmwanyika
#mamaafya
HedhiKtkUjauzito

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.

Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.

Je Kutokwa Damu Ukeni Kwa Mjamzito Ni Muhimu Duphaston?? (Matumizi ya Duphaston Kwa Mjamzito)!.

Je Kutokwa Damu Ukeni Kwa Mjamzito Ni Muhimu Duphaston?? (Matumizi ya Duphaston Kwa Mjamzito)!.

Mambo 10 yanayoweza kusaidia Shika Mimba Haraka na Kwa njia ya Asili

Mambo 10 yanayoweza kusaidia Shika Mimba Haraka na Kwa njia ya Asili

Mimba wakati wa hedhi / Je unaweza kupata Mimba wakati wa hedhi (Period) 😓😓😓????

Mimba wakati wa hedhi / Je unaweza kupata Mimba wakati wa hedhi (Period) 😓😓😓????

Why bleeding in pregnancy? (Sababu ya kutokwa na damu kipindi cha ujauzito?)

Why bleeding in pregnancy? (Sababu ya kutokwa na damu kipindi cha ujauzito?)

Je Kipimo Cha Mimba Mstari Moja Kufifia Ni Mjamzito kweli au Lah? (Mstari Miwili Moja Kufifia)!!?

Je Kipimo Cha Mimba Mstari Moja Kufifia Ni Mjamzito kweli au Lah? (Mstari Miwili Moja Kufifia)!!?

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

Mjamzito Mwenyewe Sifa Hizi Bed Rest Inakuhusu Ktk Ujauzito Wako!!!

Mjamzito Mwenyewe Sifa Hizi Bed Rest Inakuhusu Ktk Ujauzito Wako!!!

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

лечебная музыка для сердца и сосудов 🌸 успокаивает нервную систему и радует душу, Нежная музыка #42

лечебная музыка для сердца и сосудов 🌸 успокаивает нервную систему и радует душу, Нежная музыка #42

Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).

Je Dalili Na Suluhisho La Mimba Kutishia Kuharibika ni Lipi? (Dalili Za Mimba inayoharibika).

MiriamChirwa - Naenda ( Official Music Video )

MiriamChirwa - Naenda ( Official Music Video )

Kutokwa na damu ukeni ukiwa na Mimba changa (Sababu zinazopelekea Kutokwa Damu Mwanzoni mwa Mimba??

Kutokwa na damu ukeni ukiwa na Mimba changa (Sababu zinazopelekea Kutokwa Damu Mwanzoni mwa Mimba??

Je Ute Wa Kubeba Mimba Ukoje? |Ute wa Siku Za Hatari Kwa Mwanamke Hutoka Lini?, Vitu 20 yakuzingatia

Je Ute Wa Kubeba Mimba Ukoje? |Ute wa Siku Za Hatari Kwa Mwanamke Hutoka Lini?, Vitu 20 yakuzingatia

MEDICOUNTER 19/11/2018: Tatizo la kutokwa damu wakati wa ujauzito

MEDICOUNTER 19/11/2018: Tatizo la kutokwa damu wakati wa ujauzito

Je Dalili za Mimba na Kipimo Cha Mimba huacha kuonesha una Mimba lini? | Baada ya Mimba kuharibika?.

Je Dalili za Mimba na Kipimo Cha Mimba huacha kuonesha una Mimba lini? | Baada ya Mimba kuharibika?.

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

KUTOKWA DAMU UKENI KIPINDI CHA UJAUZITO | ANTEPARTUM HEAMORRHAGE

KUTOKWA DAMU UKENI KIPINDI CHA UJAUZITO | ANTEPARTUM HEAMORRHAGE

Je ni mambo gani ya msingi ya kufanya mara baada ya Mimba kuharibika au kutoka????

Je ni mambo gani ya msingi ya kufanya mara baada ya Mimba kuharibika au kutoka????

Je Dalili Za Mimba Ya Siku 5 Ikoje? (Dalili za Mimba ya Wiki 2 Zikoje)?

Je Dalili Za Mimba Ya Siku 5 Ikoje? (Dalili za Mimba ya Wiki 2 Zikoje)?

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]