AQUOS R6 PHONE REVIEW IN SWAHILI (by Dickson Wajanja)
Автор: WAJANJA_TRONIX
Загружено: 2024-06-28
Просмотров: 13658
Описание:
Aquos R6, Ni simu inayo-support mtandao kwa kasi ya 5G ni single sim card na Ina E-sim hivyo simu hii inaweza tumia laini mbili.
Ina betri lenye ukubwa wa 5000mAh kubwa sana tunategemea iweze kutunza chaji muda mrefu zaidi licha ya kuwa na teknolojia zinazotumia moto mwingi kama camera, processors, internet na zaidi
Kioo chake ni IGZO OLED kinaukubwa wa nch 6.7 nakiko curved (kina edges) chenye refresh rate ya 240Hz finger print iko kwny kioo na ni-very sensitive
Ina kamera kubwa nyuma yenye 20MP na 1 inch sensor inayosaidia kuongeza focus kwny image nakufanya background kuwa (blur) pamoja na kungarisha picha iliyopigwa usiku. Kamera yake ya mbele ni 12MP
Storage yake ni 128GB na RAM12 processor yake ni Snapdragon 888 chipset simu hii ni waterproof na dust proof.
#review #tech #smartphone #tanzania #aquosr6 #mrwhosethebossshorts #tanzanianyoutuber #kenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: