Vipande 700 vya meno ya Tembo vimekamatwa maeneo ya Mikocheni - DSM
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2013-11-02
Просмотров: 19407
Описание: Zaidi ya vipande 700 vya meno ya Tembo ambavyo vinakadiriwa kuwa ni zaidi ya tembo 200 kama wangekuwa hai vimekamatwa katika maeneo ya mikocheni jijini Dar Es Salaam ikiwa ni katika makazi ya raia wenye asili ya China.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: