Familia za vijana waliosafirishwa Urusi kinyume cha sheria zaomba washirudishwe nyumbani
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-11-15
Просмотров: 20879
Описание: Familia za vijana waliosafirishwa hadi nchini urusi kinyume na sheria sasa zinaililia serikali kuwarudisha nchini. Familia hizo zinasema kuwa jamaa zao wanahangaika huku baadhi wakiuwawa na wengine kujeruhiwa kwenye vita vya Urusi na Ukraine.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: