ZAECA WAKAMATA MADINI YA KAMPUNI YA MASTER LIFE
Автор: Zanzibar Report
Загружено: 2021-12-21
Просмотров: 307
Описание:
MAMLAKA YA KUZUI RUSHWA NA UHUJUMU WA UCHUMI ZANZIBAR ZAECA IMEKAMATA MADINI YANAYOMILIKIWA NA KAMPUNI YA MASTER LIFE MICROFINANCE LMD HUKU THAMANI YA MADINI HAYO HADI SASA IKIWA HAIJAJULIKANA
AKIZNGUMZA NA WAANDISHI WA KHABARI KAIMU MKURUGENZI WA UCHUNGUZI ZAECA NASSIR AHMAED HAJI KATIKA OFISI ZA MAMLAKA HIYO MNAZI MOJA MJINI UNGUJA
AMESEMA KUWA MADINI HAYO YAMEKAMATWA KWA KUSHIRIKIANA NA TAKUKURU YENYE KILOGRAM MIA MOJA KUMI NA SABA
MBALI NA HILO NASSIR AMESEMA KUWA KUMEKUWA NA TABIA YA BAADHI YA WATU KUWAPIGIA SIMU WANANCHI WENZAO NA KUDAI KUWA WANAITWA ZAECA
AMESEMA KUFANYA HIVYO NI KOSA KISHERIA NA WAMESHAZIPA NAMBA ZA BAADHI YA WATU WALIOKUWA WAKITOA TOA TAARIFA HIZO NA HATUA ZA KUWATAFUTA ZINAENDELEA.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: