Serikali kuongeza idadi ya ndege, nne kununuliwa mwaka huu 2026
Автор: Nukta TV
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 26
Описание:
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa hadi kufikia mwaka 2030 Serikali inatarajia kununua jumla ya ndege nane, huku nne zikitarajiwa kuwasili ndani ya mwaka 2026 pekee.
Msigwa ameyasema hayo leo, Februari 26, 2026, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, akieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha sekta ya usafiri wa anga na kuongeza ufanisi wa huduma za usafiri wa ndege nchini.
#GersonMsigwa #UnunuziWaNdege #SektaYaAnga #AirTanzania
#HabariZaLeo #SerikaliYaTanzania #UsafiriWaAnga #Tanzania2030
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: