MKE WA KIMAKUNDUCHI | Swahili movie | FULL HD
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 13343
Описание:
Ni simulizi ya ndoa inayotikiswa na tamaa na kutoridhika.
Ndani ya nyumba kuna kila kitu kinachohitajika, lakini mwanamke haridhiki. Mume wake anampa pesa ya chakula kadri ya uwezo wake, lakini mwanamke anakataa, akidai ni ndogo na anataka zaidi, bila kuangalia juhudi na uzito wa maisha waliyonayo.
#ndoa #lukmanfafa #mapenzi #movie #swahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: