Miaka 2 ya Magufuli Kardinali Pengo atua CHATO
Автор: JamiiForums
Загружено: 2023-03-16
Просмотров: 22894
Описание:
Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki Geita akiambatana na Mapadre, Watawa na baadhi ya waamini wa Jimbo Katoliki Geita, katika mapokezi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo kuu la Dar es salaam Katika uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita.
Hayati Magufuli alifariki Dunia 17.03.2021
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: